GET /api/v0.1/hansard/entries/1075908/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1075908,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1075908/?format=api",
"text_counter": 42,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garissa Township, JP",
"speaker_title": "Mhe. Aden Duale",
"speaker": {
"id": 15,
"legal_name": "Aden Bare Duale",
"slug": "aden-duale"
},
"content": " Mhe. Spika, nataka nichukue nafasi hii kuchangia katika hii Petition, kwa sababu inagusa Wakenya ambao wanafanya biashara ndogo sana. Nimeishi katika Jiji la Mombasa. Ninaelewa yale Mhe. Abdullswamad ameongea kuhusu. Nilijivinjari katika Light House na Mama Ngina Drive. Wakazi wengi wa Mombasa ambao huenda kujivinjari huko ni Wakenya wa mapato ya chini. Wafanyi biashara wanapata fursa ya kutafuta riziki yao ya siku ili watoto wao wapate chakula kwa meza."
}