GET /api/v0.1/hansard/entries/1075909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1075909,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1075909/?format=api",
    "text_counter": 43,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Garissa Township, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Aden Duale",
    "speaker": {
        "id": 15,
        "legal_name": "Aden Bare Duale",
        "slug": "aden-duale"
    },
    "content": "Niliona hii amri ambayo ilitolewa na Wizara ya utalii. Waziri wa Utalii ni mkazi wa Jiji la Mombasa. Alikuwa Meya wa Jiji hilo. Ni mtu ambaye anaelewa sana wafanyi biashara hawa katika eneo hizo mbili. Nitafurahi sana Kamati husika ikifika katika hayo maeneo kwa haraka, ili waongee na hawa Wakenya ambao wameathirika kibiashara. Pia, walete taarifa ambayo itawasaidia."
}