GET /api/v0.1/hansard/entries/1075914/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1075914,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1075914/?format=api",
"text_counter": 48,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Mhe. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii ili niunge mkono Ardhilhali hii ya Mbunge wa Mvita. Kwa kweli, kama mwakilishi wa wananchi, nilitembea pale Mama Ngina Drive. Niliona vile watu walemavu wengine wanafanya biashara ndogo. Wengi wamenipigia simu, kwa sababu wameathirika na amri ya Wizara ya Viwanda na Biashara."
}