GET /api/v0.1/hansard/entries/1075915/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1075915,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1075915/?format=api",
    "text_counter": 49,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nominated, JP",
    "speaker_title": "Mhe. David ole Sankok",
    "speaker": {
        "id": 13166,
        "legal_name": "David Ole Sankok",
        "slug": "david-ole-sankok"
    },
    "content": "Naunga mkono Ardhilhali hii. Kamati ambayo inahusika ifanye haraka, ili tupate suluhisho mara moja, ili wafanyi biashara wafanye biashara zao. Sisi tuko katika ile harakati ya kutengeneza uchumi kutoka chini kuelekea juu. Wafanyi biashara wadogo tunawaita hustlers . Tunataka wapatiwe nafasi ya kufanya biashara. Mwakilishi wa eneo Bunge la Mvita ni wa Chama cha Orange Democratic Movement (ODM). Ni kama ameanza kutuunga mkono kutetea watu ambao wako chini. Tunamshukuru sana."
}