GET /api/v0.1/hansard/entries/1076108/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1076108,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1076108/?format=api",
    "text_counter": 242,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Kwanza kabisa, sijui mlalamishi ni nani na singelipenda kuwa mwingi wa maneno ila niseme kwamba mambo hayo yamepitwa na wakati. Mhe. Moses Kuria alitoa ushahidi kwa kusema kwamba yeye ni miongoni mwa Wabunge waliopokea hongo. Sijui nitamjibu nani kwa sababu aliyeleta haya malalamishi simjui ni nani. Ni vile tu alitaja jina langu bila sababu zinazofaa kuhusishwa nami."
}