GET /api/v0.1/hansard/entries/1076109/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1076109,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1076109/?format=api",
"text_counter": 243,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": "Fauka ya hayo, Mhe. Moses Kuria alisimama ndani ya Jumba hili na akatoa hongo ya Kshs100,000, pesa ambazo aliziweka wazi na akasema alikuwa miongoni mwa wale waliopokea hela hizo. Nadhani huo ni ushahidi tosha. Singelipenda kupoteza wakati mwingi kwa mambo ambayo yamewekwa wazi na Mbunge mwenzetu."
}