GET /api/v0.1/hansard/entries/1076111/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1076111,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1076111/?format=api",
    "text_counter": 245,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Kwa hivyo, Mhe. Spika, siwezi kusema nitaomba msamaha kwa jambo ambalo silijui. Watu huomba msamaha kwa mambo ambayo wanayajua. Kwa kumalizia, ushahidi uliotelewa na mwenzangu Moses Kuria wa Kshs100,000 ni ushahidi tosha katika Bunge hili. Kwa hivyo, Mhe. Spika naomba…"
}