GET /api/v0.1/hansard/entries/1076117/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1076117,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1076117/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": " Mhe. Spika, kivyangu, nasema sijui ni nani aliyeyatoa malalamishi hayo. Kwa hivyo, sijui nitamjibu kivipi. Kivyangu, nasema ni mambo ambayo yamepitwa na wakati na tuendelee mbele. Mimi sijui nani amenishtaki na amenishtaki katika misingi ipi."
}