GET /api/v0.1/hansard/entries/1076785/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1076785,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1076785/?format=api",
"text_counter": 530,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Haina pesa mingi. Wizara hii inafaa kujijenga kama vile kuwa na maofisi. Blue economy ikiangaliwa vizuri tunaweza kuandika vijana wengi kazi. Lamu, kwa mfano, itaajiri watu wengi. Ninaona pesa kidogo imewekwa na kisha tunasema tunataka kukuza blue economy. Hiyo pesa kidogo pia hatuioni. Nilitarajia iwekwe pesa nyingi ili tuone viwanda vya samaki vikiekeza. Kwa kufanya hivyo, ndio kukuza blue economy sio tu kwa kutafiti kila siku na hatuoni mambo yakiendelea. Nilitarajia kuwa Kamati Kuu ya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}