GET /api/v0.1/hansard/entries/1076786/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1076786,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1076786/?format=api",
"text_counter": 531,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Kilimo ingeweka hapa ceiling kubwa na kuzungumzia mambo mengi ambayo yanataka kufanya upande. Tungeandika vijana wengi sana, na bado tuko na uwezo. Tuko na Kaunti tano za Pwani na pia kule upande wa Ziwa Victoria na Ziwa Naivasha. Tunaweza jipanga vizuri na blue economy na ikatuondolezea shida kubwa ya ukosefu wa kazi. Ningependa kuwapa wenzangu nafasi na kwa sababu ninaona masaa yameenda. Asante."
}