GET /api/v0.1/hansard/entries/1076945/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1076945,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1076945/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "(i) Serikali yafanya nini kuhakikisha kila mtoto amesoma licha ya anapotoka wala uwezo wake? (ii) Hizi kauli za Waziri ni msimamo wa serikali au ni kauli yake mwenyewe ya kibinafsi? (iii) Lini Waziri atarekebisha kauli yake na kuwaomba Wakenya msamaha? Asante sana, Mhe. Spika."
}