GET /api/v0.1/hansard/entries/107757/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 107757,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/107757/?format=api",
"text_counter": 356,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Yakub",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 378,
"legal_name": "Sheikh Yakub Muhammad Dor",
"slug": "sheikh-dor"
},
"content": "Ahsante sana, Bw. Spika. Ninasimama kuunga mkono marekebisho haya. Kwa sababu tunataka kuipitisha Katiba hii yetu mpya, tumekubali kuzipa nguvu wilaya na serikali za mitaa. Ninaona kuna haja kubwa ya kushughulikia masuala ya ardhi kwenye hizo wilaya. Itakuwa ni kinyume kwa sababu miaka 47 iliyopita ardhi ilikuwa ikitolewa kiholela. Hata jana kule kwetu eneo la Watamu, Malindi, kumetokea fujo kwa ajili ya masuala ya ardhi. Watu watatu wamefariki kwa sababu ofisi kuu ya Wizara ya Ardhi ilitoa ardhi."
}