GET /api/v0.1/hansard/entries/1077979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1077979,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1077979/?format=api",
"text_counter": 103,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika. Kupitia Sheria za Kudumu Nambari 44 (2) (c), nainuka kidete kuulizia jawabu kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati husika ya Usafiri kuhusu makubaliano ya pamoja yanayogusa mishahara na marupurupu, almaarufu Collective Burgaining Agreement (CBA), kati ya Halmashauri ya Bandari ya Kenya, Kenya Ports Authority, na wafanyikazi wake ya mwaka 2020/2021 na pia vilevile kurejeshwa kazini wafanyikazi 247. Mhe. Spika, kwa miaka mingi kumekuwa na mivutano na mitihani ambayo imesababisha kutowekwa sahihi hii CBA ya zaidi ya wafanyakazi 5,000 wa Bandari ya Kenya. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}