GET /api/v0.1/hansard/entries/1078371/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1078371,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1078371/?format=api",
    "text_counter": 495,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuchukua fursa hii, kuungana na wenzangu kuunga mkono huu Mswada ambao uko mbele yetu kuhusiana na ugavi wa pesa ambazo zinaenda kwa serikali gatuzi."
}