GET /api/v0.1/hansard/entries/1078372/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1078372,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1078372/?format=api",
"text_counter": 496,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Kwa kweli, Wakenya mwaka 2010 walisimama kidete kuhakikisha kuwa wamepitisha Katiba ambayo itakuwa na serikali gatuzi. Kutokana na hiyo, matarajio ya Wakenya yalikuwa ni mengi sana, miongoni mwao ni kuona kwamba, huduma zimeweza kuwafikia kule mashinani na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}