GET /api/v0.1/hansard/entries/1078375/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1078375,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1078375/?format=api",
    "text_counter": 499,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "ile na anayestahili kupewa kazi ambayo anaweza kuifanya katika sehemu ile haimaanishi kwamba awe ni mtu wako kisiasa. La msingi ni ikiwa anastahili kupata kazi ile, basi ni sawa wale wahusika waweze kuchukua fursa hii kufanya usawa katika kuendeleza mambo kama haya. Kwa hayo machache, ningependa kuhimiza Serikali ya kitaifa kuhakikisha kwamba matatizo haya hayapatikani kwa sababu yanapotokea, shida nyingi ambazo utaziona zinajitokeza katika kaunti, lawama inakuwa nyingi na ule uchumi unaaza kuleta shida katika sehemu zile kwa sababu zile fedha zinapokuwa hazijafika katika sehemu hiyo, ni wengi ambao wanapata matatizo na wanapata shida sana kutokana na hali hiyo. Kwa hayo machache, naunga mkono Mswada huu kuhakikisha kwamba hili limeweza kutekelezwa kwa njia inayostahili. Ahsante."
}