GET /api/v0.1/hansard/entries/1078384/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1078384,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1078384/?format=api",
"text_counter": 508,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Sio siri kuwa magavana wote wamekuwa wakilalamika kuwa pesa hazijafika. Vile vile pia, pesa zikifika kwa serikali za ugatuzi, wanatakikana kuhakikisha kuwa wamesimamia kisawasawa ili ziweze kutumika kwa huduma zile ambazo zinatakikana kumsaidia mwananchi pale chini mashinani."
}