GET /api/v0.1/hansard/entries/1078385/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1078385,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1078385/?format=api",
    "text_counter": 509,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, watu wengi wamekuwa na shida, haswa wanakandarasi, kuwa hawapati malipo. Wengine wamechukua mikopo kwa benki na wanashindwa kulipa, kwa sababu ya kutekeleza miradi ile ambayo wamepatiwa kwenye kandarasi. Lazima Waziri na Serikali yetu ya Kenya ihakikishe kuwa pesa zinatoka wakati unaofaa ndio wasipate hasara. Wanapochelewa kulipa, ndio wale wanakandarasi pia wanadai zaidi. Suala hili la malipo limecheleweshwa. Serikali na mwananchi wanapata hasara, kwa sababu pesa hazifiki kwa muda unaofaa."
}