GET /api/v0.1/hansard/entries/1078449/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1078449,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1078449/?format=api",
"text_counter": 573,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kwale CWR, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Zuleikha Hassan",
"speaker": {
"id": 13130,
"legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
"slug": "zuleikha-juma-hassan"
},
"content": "Ninaunga mkono Mswada huu kwa sababu pesa ambazo zitapelekwa mashinani zimeongezwa. Zitasaidia sana. Kuna baadhi ya viongozi ambao wamesema pesa zisigatuliwe kwa sababu kuna ufisadi sana katika serikali za ugatuzi. Pesa zigatuliwe. Iwe jukumu la wananchi kuhakikisha kuwa wanapigia kura gavana na serikali ya kaunti ambayo inafaa, inajali wananchi na ambayo haitakuwa na ufisadi. Pesa iwe pale kwa kaunti ili ifanye masuala mazuri, iwapo tutapata viongozi wazuri."
}