GET /api/v0.1/hansard/entries/1078677/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1078677,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1078677/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru Town East, JP",
"speaker_title": "Hon. David Gikaria",
"speaker": {
"id": 2489,
"legal_name": "David Gikaria",
"slug": "david-gikaria"
},
"content": " Nashukuru sana, Mhe. Spika. Ninaongea kwa niaba yangu, familia yangu, na watu wa Nakuru Town East Constituency, na ninaleta rambirambi kwa familia na jamaa za ndugu yangu marehemu Mhe. Jakoyo Midiwo ambaye tulijuana katika Bunge la Kumi na Moja. Mwendazake Mhe. Jakoyo, kwa yale mambo alifanya wakati ule, alitufunza mengi sana wakati alipokuwa akifanya debate sana sana. Marehemu Mhe. Jakoyo alikuwa ni mtu aliyekuwa"
}