GET /api/v0.1/hansard/entries/1079837/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1079837,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1079837/?format=api",
"text_counter": 295,
"type": "speech",
"speaker_name": "Endebess, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Robert Pukose",
"speaker": {
"id": 1458,
"legal_name": "Robert Pukose",
"slug": "robert-pukose"
},
"content": "chini na wanatafuta namna ya kuishi. Kwa hivyo, naunga Kamati mkono asilimia mia inaposema kuwa ushuru kwa boda boda utolewe. Jambo lingine ambalo limesemwa na Mheshimiwa K.J, Mbunge wa Dagoretti South, ni kuwa LPG gas imewekwa ushuru. Vile tujuavyo, katika nchi yetu wakati huu, tunajaribu kuchunga mazingira. Tunapochunga mazingira, inafaa tuhakikishe kuwa wananchi wanatumia"
}