GET /api/v0.1/hansard/entries/1081644/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1081644,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1081644/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "“Mheshimiwa, tunashukuru kwa juhudi zako za kuwashawishi polisi wafanye kazi yao ya kulinda usalama. Na kama polisi hawatafanya haraka uchunguzi wao kuhusu kifo cha mamaNasimiyu, sisi kama wakaaji tutafanya uchunguzi wetu na tutamfanya vile tulivyofanya yulemwanaume ambaye alimbaka na kumuua mtoto huko Marofu.”"
}