GET /api/v0.1/hansard/entries/1081831/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1081831,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1081831/?format=api",
    "text_counter": 322,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, Wakenya wengi wako na hofu ya kuenda kutoa damu kwa kuogopa kuwa hali zao zitajulikana na wengine; wengi wanataka kutoa lakini wanaogopa hilo. Ikiwa itawekwa siri, kama vile Mswada huu unazungumzia, na watu waweze kuelemishwa, watu wengi watatoa damu. Wakenya wengi ni wakarimu na tuko tayari kusaidia wenzetu. Lakini Wakenya wahakikishiwe kuwa wanapopimwa na kupatikana na maradhi fulani, hiyo itakuwa siri yake tu na isitoke kwingine. Ikitoka kwa mmoja, inaharibia hata wengine kuenda kutoa damu."
}