GET /api/v0.1/hansard/entries/1081832/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1081832,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1081832/?format=api",
"text_counter": 323,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Narejelea tena kwamba damu ni muhimu na tunafaa kuwa na damu nyingi. Wengine wametoa hesabu ambazo hazina hakika lakini mimi ni mmoja wa wanakamati na Mswada huu ni mzuri. Walikuja wakatueleza na tumeusoma. Kwa hivyo, kuna umuhimu wa sisi kupitisha Mswada huu kwa maana ulipaswa kupitishwa mapema hata kabla ya sasa; ni Mswada muhimu. Langu ni kushukuru sana. Tulikuwa tunaona kuwa kazi hii ilikuwa imeachiwa Shirika la Red Cross lakini sasa nimeona kuwa Wizara ya Afya imechukulia yenyewe kufanya mambo muhimu na huduma muhimu kama hizi."
}