GET /api/v0.1/hansard/entries/1081833/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1081833,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1081833/?format=api",
"text_counter": 324,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Pia, wizara hizi hazifai kutegemea wafadhili sana. Kama kuna huduma yeyote ya afya, Wizara ya Afya inafaa ichukue majukumu hayo. Hili liwe ni funzo maanake tumepata funzo wafadhili walipojitoa kwa ghafla. Tusitegemee sana huduma muhimu zitimizwe na wafadhili."
}