GET /api/v0.1/hansard/entries/1082223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1082223,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1082223/?format=api",
    "text_counter": 364,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": " Mheshimiwa Naibu Mwenyekiti wa Muda, nakubaliana na marekebisho hayo. Hatutaki Serikali kuu ikae ikiotea miradi na kuamua kuwa miradi mikubwa inaweza kuiotea na kuifanya wakati wowote ule ili wananchi na wanauma wote wajue kuwa muradi ule utafanywa na Serikali kuu."
}