GET /api/v0.1/hansard/entries/1082918/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1082918,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1082918/?format=api",
"text_counter": 157,
"type": "speech",
"speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": " Wajua Mhe. Spika, kile kitu anashuhudia ni yale sisi tumepitia sote. Basi ningeomba tu kusema akina mama wapewe ulinzi wa kutosha. Ninamwambia mwenzangu ajaribu juu chini kwa sababu hilo ni jambo la maana. Hayo si mambo ya kulegea bali ni ya kuendelea. Sisi sote tumepitia hayo na ndiposa tuko katika hili Bunge."
}