GET /api/v0.1/hansard/entries/1083213/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1083213,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083213/?format=api",
    "text_counter": 452,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Ni vizuri tuwe na wafanyakazi wa kaunti ambao wanastakabadhi zinazohitajika. Tunaona mambo mengi katika kaunti yanafanyika kiholelaholela saa zingine. Hayafanyiki vizuri. Tukipata yule ana hizo qualifications zote hapa, zikifuatwa kuanzia huo wosia na hao wengine wote na zichukuliwe hizi sheria zimeandikwa hapa, itasaidia sana. Utaona mara nyingine, kwa mfano, saa hii kuna kaunti ambazo zimepata pesa nyingi ambazo zinafaa zizitumie zizimalize na ni mkopo wa Serikali kutoka kwa World Bank. Lakini utaona, kwa sababu sijui ni wale walioko hawana zile"
}