GET /api/v0.1/hansard/entries/1083217/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1083217,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083217/?format=api",
"text_counter": 456,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "zinazohitajika lakini pia akawa hafanyi kazi vizuri. Kwa hivyo, utaona saa hii kama sasa wakati huu, tumepewa pesa nyingi kama Kaunti ya Lamu na World Bank lakini utaona kwa kaunti zimebakia pesa zaidi ya shillingi millioni mia tatu ambazo hazijatumika na watu wana njaa. Kama wangepea women representative, pesa kama hizo zingekuwa zimetumika vizuri sana katika vikundi. Mhe. Naibu Spika wa Muda, ule mradi unaitwa Climate Smart, imagine mwezi unaokuja ndio mwisho. Hizo pesa zitabidi zirejeshwe na Serikali ya Kenya inalipa loan . Tukipata wafanyikazi ambao wana qualification s na hizo qualities zote ambazo zimewekwa hapa kama"
}