GET /api/v0.1/hansard/entries/1083441/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1083441,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083441/?format=api",
    "text_counter": 146,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Spika. Nashukuru kauli ya Mwenyekiti wa Kamati ya Idara ya Uchukuzi lakini wakikutana na Waziri wa Utalii, isiwe tumeridhika na kufungulia kiasi. Tunataka wanabiashara wote wafanye biashara zao bila ubaguzi wowote. Tunakubaliana kuwa Bunge liende na nidhamu na masuala mengine. Lakini naomba ikiwa ni kukutana na Wizara ya Afya, kwa sababu sielewi vipi itakua mambo ya afya, wengine wasikubaliwe na wengine wakataliwe. Kwa hivyo, ikiwa ni kukutana na Wizara ya Afya wakutane nao wiki hii na wiki ijayo, wakutane na Wizara ya Utalii. Wakifika wawaone wachuuzi wenyewe ili wasikie kauli yao. Tukiregea hapa jambo hili lichukuliwe na hali ya umuhimu unaohitajika."
}