GET /api/v0.1/hansard/entries/1083557/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1083557,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083557/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Zuleikha Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "(Kwale (CWR), ODM): Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii kuchangia huu Mswada kuhusiana na sheria hii ambayo imeletwa na Mhe. (Bi.) Odhiambo-Mabona ambayo itasaidia watu kupata watoto kwa njia ambazo si za kawaida. Mwanzo, naunga mkono Mswada huu hususan kwa watu wawili ambao wameoana, wanataka kupata watoto na wana shida kwa sababu ya njia moja au nyingine, na kuwa madaktari The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}