GET /api/v0.1/hansard/entries/1083822/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1083822,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083822/?format=api",
    "text_counter": 179,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kwale CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Zuleikha Hassan",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii kuchangia Hoja hii. Ningependa kushukuru Kamati ya Utekelezaji kwa kuleta Ripoti hii Bungeni. Malalamishi haya yamekuwa yakizungumziwa Bungeni kwa muda mrefu na kuchunguzwa kutoka 2015 nilipoleta malalamishi haya hapa Bungeni. Ningependa kuzungumzia mapendekezo ya Kamati hii na kusema vile hali ilivyo mashinani. Ningependa kujulisha Bunge kuwa kwa sababu ya malalamishi haya kwa niaba ya wafanyikazi wa Kwale International Sugar Company, kampuni hiyo imenipeleka kortini kunishtaki kwa kuwaharibia jina."
}