GET /api/v0.1/hansard/entries/1083823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1083823,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083823/?format=api",
    "text_counter": 180,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kwale CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Zuleikha Hassan",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "Katika kuzungumzia mapendekezo ya Kamati, walizungumzia kuwa barua hazijaandikwa kwa wafanyikazi. Ningependa kueleza Bunge kuwa hadi sasa, hawajaandikwa kazi. Kampuni imekuwa ikitoa mikataba kwa wale wanaofanya kazi kwenye ofisi lakini wale wanaofanya kazi kwenye mashamba wameumia zaidi na bado hawajaandikwa. Kampuni hiyo haijaleta ushahidi wowote kwa Bunge au kwa Kamati hiyo kuonyesha kuwa wamewaajiri wafanyikazi hao wa mashambani. Kuhusiana na masuala ya wafanyikazi ambao wamefanya kazi hapo kwa muda The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}