GET /api/v0.1/hansard/entries/1083826/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1083826,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083826/?format=api",
"text_counter": 183,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kwale CWR, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Zuleikha Hassan",
"speaker": {
"id": 13130,
"legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
"slug": "zuleikha-juma-hassan"
},
"content": " Ahsante sana kwa kuniongezea muda. Ningeomba Kamati iwape adhabu kali zaidi kwa sababu hawajaonyesha nia ya kutekeleza lolote. Ni muhimu kwetu sisi kutetea haki za wafanyikazi hawa kwa sababu hawako kwenye muungano wa wafanyikazi wowote. Licha ya kazi iliyofanywa na Kamati, kampuni hii imeonyesha kuwa haina nia ya kutekeleza lolote na ningependa vitengo vya Serikali vichukue hatua na kufuatilia zaidi kuhakikisha kuwa haki ya wafanyikazi wa Kenya inalindwa. Ahsante sana."
}