GET /api/v0.1/hansard/entries/1083828/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1083828,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083828/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mjumbe Mteule, FORD-K",
    "speaker_title": "Mhe. Nasri Ibrahim",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa hii nafasi ninene machache. Maisha ya wafanyakazi wa Kenya ni bora sana katika Katiba yetu. Wanabiashara wanatoka nchi zingine kuja kunyanyasa watu wetu. Kampuni haiwezi kuweka watu kwa miaka kumi na moja wafanye kazi bila kuwaandika. Lazima tuangalie maisha na maslahi ya wanyakazi wa Kenya. Hata kama kampuni zinaleta pesa kwetu, lazima wachunge The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}