GET /api/v0.1/hansard/entries/1083973/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1083973,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083973/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Janga la Virusi vya Korona lilipoingia, tuliona utepetevu upande wa Serikali, kuhusiana na jinsi ya kupambana nalo. Sisi kama Bunge la Seneti, tuliunda Kamati maalum ya Virusi vya Korona ijapokuwa muda wake ulikwisha na ikafunga virago. Kamati hii ilipokuwa ikikaa, kila wiki tulikuwa tunashauriana na vitengo tofauti vya Serikali. Hii ilitupatia fursa ya kujua hali halisi katika nchi yetu. Muda wa Kamati hii ulipoisha, hatukuchangua kamati nyingine na mambo yakaanza kwenda bila mwelekeo wowote."
}