GET /api/v0.1/hansard/entries/1083979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1083979,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083979/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Jambo la mwisho ni kuwa wanaosafiri kwenda nchi jirani ya Tanzania kwa sasa, wanatakiwa kuwa na cheti kinachoonyesha kwamba hawana virusi vya Korona. Wakiingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro, wanalazimishwa kupima tena kwa Dola 25 za Marekani. Sheria inayotumika kwa wanaosafiri kwa ndege ni tofauti na wale wanaosafiri kwa basi. Ina maana kwamba kama nchi, hatuko tayari kupambana na janga hili."
}