GET /api/v0.1/hansard/entries/1083980/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1083980,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083980/?format=api",
"text_counter": 137,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kama Bunge ni lazima turegeshe ile Kamati ya Virusi vya Korona, ili ipambane na masuala haya siku kwa siku ili kuona kwamba wananchi wetu wanalindwa. Unyanyapaa ndilo swala kubwa linakumba wanaougua au waliopoteza wapendwa wao kutokana na virusi vya Korona."
}