GET /api/v0.1/hansard/entries/1083995/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1083995,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083995/?format=api",
    "text_counter": 152,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia Taarifa ambayo imetolewa na rafiki yangu, Sen. Khaniri. Kwa kweli wakati huu Wakenya wengi wanaishi katika hali ya hofu kutokana na ugonjwa wa COVID-19. Sehemu ambayo mimi nimetoka, hakuna kitu cha maana ambacho kinafanyika katika hospitali. Hatuna chanjo ilhali tulifahamishwa ya kwamba kaunti zote zimepata chanjo kwa sababa chanjo hii inazuia kuenea kwa ugonjwa huu. Bi. Spika wa Muda, Wakenya wanaishi katika hali ya hofu. Hofu hii ikiendelea, basi maisha yao yataendelea kudoroa. Ni jambo la kuhuzunisha kuwa hakuna mambo ya maana yatakayofanyika hapa nchini. Ukweli ni kwamba uchumi utaendelea kusambaratika kwa sababu ya hofu ya COVID-19. Hofu hii inachangiwa na kukosa kwa"
}