GET /api/v0.1/hansard/entries/1083998/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1083998,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1083998/?format=api",
    "text_counter": 155,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Uchaguzi mkuu wa mwaka ujao hauko mbali. Lakini kwa sababu ya hofu ya COVID-19, Wakenya tayari wameambiwa wakae mbalimbali na wenzao. Mimi sioni kama huu uchaguzi utafanyika vizuri kwa sababu watu wanafaa kukaa mbali, wavae barakoya na hakuna chanjo za kutosha. Hali ikiendela hivi, watu watendelea kukaa mbali na kuwatenga wenzao. Siku ambayo wataambiwa waende kupiga kura, watauliza, “Mmetutahadharisha mwaka wote na sasa tuko na hofu. Tukienda kupiga kura, hali yetu itakuwa namna gani?” Sioni kama huo uchaguzi utafanyika vizuri mwaka ujao."
}