GET /api/v0.1/hansard/entries/1084177/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1084177,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1084177/?format=api",
"text_counter": 334,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii ya kuchangia Mswada huu wa huduma za afya kwa jamii. Mswada huu umekuja katika wakati mwafaka, wakati ulimwengu unapambana na janga la Corona. Ningependa kumpongeza Dr. Zani kwa kuleta Mswada huu katika Bunge kujadiliwa. Mswada huu unatoa fursa kwa sheria kutambua majukumu ya wafanyikazi wa afya ambao wengi wamejitolea kuhakikisha kwamba wananchi kule mashinani wanapata huduma za afya, wengine hata bila malipo."
}