GET /api/v0.1/hansard/entries/1084181/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1084181,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1084181/?format=api",
    "text_counter": 338,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "iwapo sheria hii itapita huduma za matibabu zitakuja mashinani, madawa yataweza kupatikana mashinani na vile vile huduma kama vile za X-ray na vipimo za damu zitaweza kupatikana kwa njia rahisi ili kuhakikisha kwamba wananchi wanatibiwa kwa gharama isiyokuwa kubwa. Vile vile, zile stakabadhi ambazo zitapatikana katika kijiji kile itasaidia pakubwa pia kupanga mikakati ambayo itasaidia pakubwa kuboresha huduma za afya katika maeneo hayo na afya ya wananchi katika zile sehemu ambazo zimelengwa. Kwa hivyo, Mswada huu utachangia pakubwa afya katika nchi yetu na katika kaunti zetu. Vile vile, itasaidia kuhakikisha kwamba kuna afya kwa wote katika nchi yetu ya Kenya. Kwa kumalizia ni kuwa Mswada unaweka msingi dhabiti wa kuweza kupatikana kwa afya katika kaunti zetu."
}