GET /api/v0.1/hansard/entries/1084280/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1084280,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1084280/?format=api",
"text_counter": 37,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Catherine Waruguru",
"speaker": {
"id": 13253,
"legal_name": "Catherine Wanjiku Waruguru",
"slug": "catherine-wanjiku-waruguru"
},
"content": " Mhe. Spika, wewe ni Spika wa wanawake na wanaume. Pia wewe umezaa wasichana ambao kesho watasimama kuwa marais. Safari ni ile ile ya wanawake kukimbizwa. Sisi kama wanawake wa hili Bunge, tunazidi kusema Mhe. Wangari Maathai viva. W anawake tusimame kidete. Naye Minister ambaye anahusika na maneno ya usalama, wacha kutuma askari kusukuma wanawake, hasa wanawake wale ambao wanatafuta viti. Sisi wanawake tunajivunia Wangari Maathai. Mhe. Spika, Mhe. David ole Sankok amevaa rangi ya chama. Furusha yeye avae nguo ambazo zinafaa Bungeni maanake hizo amevaa ni uniform ya chama. Ahsante."
}