GET /api/v0.1/hansard/entries/1085032/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1085032,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1085032/?format=api",
"text_counter": 31,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "na hatimaye kuhakikisha wafanyikazi wote 171 wameshughulikiwa na wakuu wa kampuni ya KUSCO wameshikwa na kulazimishwa kuwalipa pesa za wafanyikazi hao. Pesa za wafanyikazi 171 sio kidogo. Hiyo ni zaidi Kshs12 milioni. Hizo sio pesa kidogo hasa kwa wakati huo. Pesa hizo ziko na faida yake. Ikiwa zitalipwa, basi wale wakurugenzi na kila mtu lazima ashurutishwe alipe pesa hizi. Asante, Bw. Spika."
}