GET /api/v0.1/hansard/entries/1085168/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1085168,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1085168/?format=api",
    "text_counter": 167,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, la mwisho ni kwamba, hapo awali tulikua na kamati ya kuleta ripoti maalum. Tukiweka mkazo zaidi na njia maalum, nafikiria kuwa Wakenya watapendelea Seneti kuwapatia njia mwafaka ya kutumia hizi dawa na kupunguza ufisadi katika serikali za ugatuzi. Itawafaa Wakenya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}