GET /api/v0.1/hansard/entries/1085627/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1085627,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1085627/?format=api",
    "text_counter": 36,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Nakumbuka hilo jambo kuhusu madiwani. Tuliangazia jambo hilo na tukaandika ripoti ambayo ilisema ya kwamba madiwani wanapaswa kulipwa. Kama vile Sen. Wambua alivyosema, Kamati ya Leba na Ustawi wa Jamii ilisema watachangamkia jambo hilo. Lakini, baada ya kulivalia njuga, hakuna jambo lolote limetendeka. Sijui kama madiwani hawafai kuwa wakilipwa pesa zao ama ni kwa nini jambo hilo linachukuliwa kiholela."
}