GET /api/v0.1/hansard/entries/1086144/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1086144,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1086144/?format=api",
"text_counter": 48,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "yaani, bado wanataka kutisha watu eti watawabumburusha kutoka kwenye ardhi zile. Wanasahau tuko na nchi iliyo na sheria. Ninakubaliana na ardhilhali hii. Ninaomba National Land Commission kuwa ikishatoa amri, ifuatilie. Tusiwe ni wenye kukaa tu na hali watu wetu wanateseka. Kuna wale ambao wametumia viongozi wao na mambo yakatekelezwa. Nimewasiliana na mwenyekiti husika wa ardhi. Haya mambo kuhusu Mvita nitayapeleka kwake ili aweze kufuatilia. Ahsante sana."
}