GET /api/v0.1/hansard/entries/1086951/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1086951,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1086951/?format=api",
"text_counter": 525,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Nashukuru pia nimepata nafasi hii kidogo nami niunge mkono Mswada huu kwa sababu hata Pwani kuna sukari. Tulikuwa na kiwanda cha Ramisi ambacho kilikuwa kiwanda cha umma na kikafa hadi sasa. Ningependa kusema ya kwamba, bodi hii ambayo itatengenezwa itaweza kusaidi kuleta soko la sukari yetu hapa Kenya. Hivyo basi, kuboresha uchumi wetu wa kitaifa na uchumi wa wakulima wetu wa sukari."
}