GET /api/v0.1/hansard/entries/1086952/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1086952,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1086952/?format=api",
    "text_counter": 526,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Vile vile, wale wenye cartels wanaoleta sukari haramu, sukari ambayo itakuwa na madhara ya kiafya katika taifa letu la Kenya, wanaweza kudhibitiwa kupitia bodi hii ambayo itakuwa imetengenezwa kuangalia majukumu kama hayo. Vile vile, katika mambo ya utafiti, ni vizuri kwamba tukifanya utafiti ili kuweza kuboresha mazao tuweze kupata mazao zaidi na tupate tofauti nyingi katika huu mmea wa sukari ama wa miwa, ili tuweze kupata sukari kwa kiwango cha hali ya juu sana."
}