GET /api/v0.1/hansard/entries/1086954/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1086954,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1086954/?format=api",
"text_counter": 528,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Hazina ambayo itakuwa imetengezwa kupitia ule ushuru ambao tunauita levy, itaweza kusaidia sana watu kuweza kuchukua mikopo na kufufua vile viwanda ambavyo vimekufa, ama vile ambavyo vimedorora katika wakati huu. Nataka niseme ya kwamba, sukari ni kilimo cha kuweza kuleta uchumi wa kenya kama kilimo cha kahawa na majani chai. Kwa hivyo, ni kilimo ambacho sisi kama taifa lazima tukichukulie kwa njia ya hali ya juu, ili tuweze kujenga ajira pia kwa vijana wetu na kuweza kuboresha uchumi katika county zetu haswa zile ambazo zina kilimo cha sukari ndiyo tuweze kuendeleza nchi yetu kwa pamoja."
}